Tanzania kutumia mil 400 katika sensa ya majaribio

Na Tiganya Vicent, MAELEZO JUMLA ya sh. milioni 400 zinatarajiwa kutumika kugharamia shughuli za uendeshaji wa sensa ya majaribio itakayofanyika Septemba 4 hadi 11 mwaka huu katika mikoa 11 ya Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Morogoro na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk. Albina Chuwa, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mafunzo ya wiki moja …

Wanajeshi wadaiwa kuvamia kijiji Dar

TAARIFA zilizotufikia jana majira ya saa nne asubuhi kutoka nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ni kwamba; watu wanaodaiwa kuwa ni Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi nchini (JWTZ) wamevamia Kijiji cha Kimbiji. Taarifa zinasema wanajeshi hao walivamia na kuvunjiwa makazi yao pamoja na kuharibiwa mazao. Chanzo cha habari cha mtandao huu kilisema, malori manne yaliyojaa wanajeshi yalikivamia Kijiji …

Madereva ‘bodaboda’ wateketeza Prado kwa moto Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha JOPO la waendesha pikipiki maarufu kama “bodaboda” mkoani hapa wameteketeza gari kwa moto baada ya gari hilo kumsababishia kifo dereva mwenzao baada ya kugongwa na kufariki papo hapo. Tukio hilo limetokea mjini hapa Agosti 13 mwaka huu majira ya saa 1:30 jioni katika eneo la Sakina mkoani Arusha. Tukio hilo lililihusisha gari namba T 123 AAW …

Dk Bilal azindua rasmi maghorofa ya Polisi Kilwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (kulia) ni Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Inspekta Jenerali wa Polisi, Said …

‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’

Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga na Chuo hicho Septemba, 2011. Kwa maelezo zaidi, fika ofisi za wawakilishi wa Chuo waliopo Tanzania kwa anuani ifuatayo: Wawakilishi Tanzania Wawakilishi maalum wa Chuo cha Sheffield Tanzania ni: Uniserv Tanzania Haidery Plaza, 1st Floor A. …

Mikoa 11 kushiriki sensa ya majaribio Tanzania

Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Morogoro JUMLA ya mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kushirikia katika sensa ya majaribio ya watu na Makazi itakayoanza Septemba 4 mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk. Albina Chuwa alipokuwa akitoa maelezo mafupi kabla ya kufunguliwa kwa mafunzo ya wiki moja ya …