Dk. Bilal awazawadia washindi wa kuhifadhi Qur-an

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa fainali wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, Jahuddi n Adam, kutoka Sudan, baada ya kutangazwa mshindi wa fainali hizo, zilizofanyika Agosti 21 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed …

Timu ya Soka ya ‘Bongo Starz’ yaendelea na mazoezi! Pt 2

Na Mwandishi Wetu, Los Angeles TIMU ya Watanzania waishio Kusini mwa California jana Jumamosi walikutana kwa mara nyingine tena, kwa ajili ya mazoezi kabla ya mechi za mataifa mbalimbali kuanza hapo September 3, 2011 na kumalizika tarehe hiyohiyo. Mashindano hayo yatafanyika jijini Los Angeles, California.  dev.kisakuzi.com, ilikuwepo uwanjani kushiriki na pia kushuhudia jinsi timu ilivyokuwa inafanya mazoezi ya nguvu katika upande …

Mwanamitindo, Asya Idarus, ndani ya jiji la North Carolina kwa maonyesho ya mavazi,usiku wa UTNC gala Night.

September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi mpaka usiku wa manane. Asubuhi 9am mpaka 1pm; tutakuwa na brunch itakayo fanyika La Quinte hotel. Ambayo itahudhuriwa na balozi na maofisa mbalimbali. Jioni 5pm utakuwa ni usiku wa gala ambao una mambo mengi ndani …

Timu ya Soka ya ‘Bongo Starz’ yaendelea na mazoezi! Pt 1

Na Muandishi wetu, Los Angeles Timu ya Watanzania waishio kusini mwa California jana Jumamosi walikutana kwa mara nyingine tena, kwa ajili ya mazoezi kabla ya mechi za mataifa mbalimbali kuanza hapo September 3, 2011 na kumalizika tarehe hiyohiyo. Mashindano hayo yatafanyika jijini Los Angeles, California.  dev.kisakuzi.com, ilikuwepo uwanjani kushiriki na pia kushudia jinsi timu ilivyokuwa inafanya mazoezi ya nguvu katika upande …

Jukwaa la Katiba lazindua mwongozo wa Katiba Mpya

Stewart Moshi na Servi Roman, MAELEZO UONGOZI wa Jukwaa la Katiba Tanzania umezindua Mwongozo wa Katiba kwa raia ili wananchi waweze kujadili na kutoa maoni yatakayowezesha utungwaji wa Katiba Mpya. Akizungumza na waandishi wa habari juzi jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba alisema wameandaa Mwongozo wa Katiba ili kuhakikisha mambo yanayopaswa kuzingatiwa katika katiba mpya …

Amuuwa mwanaye baada ya kudokoa mboga

Na Mwandishi Wetu, Mwanza JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia Scolastica Juma (25) na Nyambura Wambura (24) kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa Shule ya Msingi Sokoine, Martha Thobias (8) kwa madai alikutwa akikomba mboga. Watuhumiwa Scolastica ambaye ni mama mzazi wa marehemu huku Nyambura Wambura akiwa ni mfanyakazi wa ndani wanadaiwa kumshambulia kwa zamu kwa kutumia fimbo mtoto Martha …