Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Bi. Doris Mollel amezinduwa tawi jipya la duka la kadi la Kampuni ya ‘R’ Plus Events Cards’ Mwenge, Sokoni Jijini Dar es Salaam huku akiwataka wajasiliamali wadogo na wakubwa wauzaji wa bidhaa hizo kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo ili wajipatie kipato. Bi. Mollel ametoa kauli hiyo …
JPM AIPONGEZA TTCL SABASABA, YAIBUKA KIDEDEA SEKTA YA MAWASILIANO
RAIS wao Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli, ameipongeza Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwa juhudi kubwa inazofanya katika kuwapatia Wananchi huduma bora za Mawasiliano. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo baada ya kuitembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara …
PROF MBARAWA ARIDHISHWA UJENZI WA JENGO LA 3 LA ABIRIA JNIA
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa jengo la Tatu la Abiria la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), na kuelezea kuridhishwa kwake kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi huo Waziri Profesa Mbarawa amemhakikishia mkandarasi BAM International anayejenga jengo hilo kuwa Serikali italipa madai yake …
Wawakilishi Pemba Watakiwa Kuwekeza Katika Elimu
Na Is-haka Omar, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka Wabunge na Wawakilishi wa Pemba kuwekeza katika sekta ya elimu ili kuwasaidia vijana wanaosoma kwenye shule na vyuo vya elimu ya juu vilivyopo katika kisiwa hicho. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” katika mwendelezo wa ziara yake Pemba wakati akikagua …
Asasi za Kiraia Zatetea Msichana Mjamzito Kurejea Shuleni
ASASI za Kiraia nchini zimeibuka kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Katika tamko lao la pamoja lililoshirikisha asasi 25 za kiraia zinazofanya kazi nchini limeitaka serikali kuridhia mchakato wa kumruhusu mwanafunzi atakayepata ujauzito kurejea masomoni mara baada …