Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho kutokana na kifo cha Mussa Hamisi Silima aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Baraza la Wawakilishi. Marehemu Mussa Hamisi Silima …
Kijiji cha Mahongole Njombe kujengewa Soko
Na Mwandishi Wetu, Njombe WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Mahongole kilichopo mkoa mpya wa Njombe wameahidiwa kujengewa soko na mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI), ili kuwaondolea kero ya kusafiri umbali mrefu kutafuta masoko. Akizungumza kwa niaba ya Mratibu wa Mradi huo mkoani hapa, Ofisa Mradi, Christopher Mkondya, amesema soko hilo ambalo kwa kiasi kikubwa litagharamiwa na mradi huo …
Breaking Newsss; CAG athibitisha Jairo hana atia, anarejea kazi
KATIBU Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo ametangaza muda huu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo aliyesimamishwa hivi karibuni hana kosa lolote dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake hivyo anarejea kazini mara moja. Taarifa ambazo dev.kisakuzi.com imezipata hii ni kwa mujibu wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya kupewa kazi ya kuchunguza tuhuma zake …
Dwight Howard Hits Tanzania…With $80K For Schools
This past week, Dwight Howard joined executives from his D12 Foundation on a trip to the United Republic of Tanzania where he visited the Kipok Secondary School in the Monduli region and the Lunguya Secondary School in Shinyanga. While there, Dwight donated more than $80K to their educational efforts.
Mbunge apata ajali Dodoma, mkewe afariki dunia
Na Mwandishi wetu, Dodoma MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi (B.L.W) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mussa Khamis Silima amefiwa na mkewe baada ya gari alilokuwa akisafiri nalo kupata ajali likitokea Morogoro kuja mjini Dodoma. Akizungumzia tukio hilo jana bungeni Dodoma, Spika Anne Makinda aliliarifu Bunge kuwa ajali hiyo iliyosababisha kifo ilitokea juzi majira ya saa 1:45 usiku eneo la …
Msekwa ajibu mapigo, amuita mbunge wa CCM mzushi, anachuki
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Ngorongoro, Pius Msekwa amesema tuhuma zilizotolewa bungeni na Mbunge wa Ngorongoro, Kaika Telele wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa alikimbia mjadala bungeni na kwenda kugawa maeneo kwa wawekezaji ya ujenzi wa hoteli ni za uongo na uzushi. Msekwa amesema huenda mbunge huyo ameamua kumpakazia maneno hayo ya uzushi kwa chuku kwa kile, …