Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambae pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama Taifa (Mwenye T-Shirt ya Blue) akiwa ameambatana na Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani nchini DCP Mohammed Mpinga ambae pia ni katibu wa Kamati ya usalama barabarani na Mlezi wa RSA Tanzania wakiwa wanaingia uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma baada ya kupokea maandamano ya …
WAZAZI WASHAURIWA KUTUMIA AKAUNTI YA MTOTO
BENKI ya NMB imewashauri wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti mbili mpya ambazo zimeanzishwa na benki hiyo ya Mtoto Akaunti na Chipukizi Akaunti kwa ajili ya kutumia kuwawekea fedha watoto wao. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Elimu ya Fedha wa benki ya NMB, Ryoba Mkono baada ya kutoa elimu ya fedha kwa wazazi na watoto kwenye maonesho ya 41 …
Rais Magufuli Amuhalalisha Kindamba Utendaji Mkuu TTCL
HATIMAYE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemteua rasmi, Bw. Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huo Kindamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo, tangu alipoondolewa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu Dk. Kamugisha Kazaura aliteuliwa Februari 2013 na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL kushika nafasi hiyo baada ya …
Mbunge Halima Mdee Mikononi mwa Polisi Dar…!
HATIMAYE Jeshi la Polisi Dar es Salaam limemkamata Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ikiwa ni kuitikia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Alli Hapi. Taarifa zinasema mbunge huyo, alikamatwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Makongo Juu na anashikiliwa na Kituoni cha Polisi Oysterbay. Kiongozi wa CHADEMA (Katibu) wa Dar es Salaam, Henry Kilewo ametoa taarifa za …
Masikini Mdee, Polisi Waagizwa Kumkamata Saa 48
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Ally Hapi amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania, kumtia ndani Mbunge wa Kawe, Bi. Halima Mdee kwa kile alichodai katoa kauli ya kumtusi, dhihaka na uchochezi kwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli katika kauli yake aliyoitoa kwa waandishi wa habari. DC Hapi alisema kauli za mbunge huyo aziwezi kuvumiliwa hivyo …
Hatimaye Bunge Lazibadili Sheria za Madini Tanzania
BUNGE la Tanzania hatimaye limepitisha sheria mpya mbili na muhimu za uchimbani madini ambapo kwa pamoja zina lengo la kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya madini. Sheria hizo mbili zinafuatia mzozo wa miezi miwili kati ya serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingeraza ya Acacia, kufuatia madai kwuwa kampuni hiyo imekuwa ikikosa kulipa kodi. Kupitia sheria hizo sasa …