“Watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara, huwa hawa umwi umwi hovyo”, anasema Dkt.Yvonne K. Fullbright, mtaalam wa afya ya tendo la kujamiina. Baada ya nukuu hii kutoka kwa mtaalam, sio ajabu basi tukisikia kwamba faida kuu ya kwanza ni kuimarisha uwezo wa mwili wako kupambana na maradhi (strengthen your immune system). Uchunguzi uliofanyika Chuo Cha Wilkes huko …
Tabia Kuu Tano Za Watu Waliofanikiwa Kimaisha!
Kwanza, kabla sijaendelea embu tuwekane sawa kuhus hii falsafa ya “kufanikiwa kimaisha”, ina maana gani haswa? Ukweli ni kwamba watu wengi wakisikia fulani amefanikiwa kimaisha, basi moja kwa moja wanafikiri au wanaamini mtu huyo atakuwa na pesa nyingiiii au kwa maneno mengine, mtu huyo ni tajiri fulani hivi. Pamoja na kwamba pesa ndio mtatuzi wa mahitaji mengi hapa duniani, lazima …
Mambo Nane Yatakayokuongezea Furaha
1) Toa shukrani. Kila siku ukiamka asubuhi Mshukuru Mungu kwa kukuwezesha kuamka salama na mwenye afya. Kitendo cha kushukuru kitakufanya ujione una jambo la kushukuru na kuwa wewe ni mwenye bahati. Kuna mambo mengi sana ya kushukuru, kama vile afya yako, nyumba unayolala, gari unaloendesha, chakula unachokula, mpenzi uliyenaye n.k. Fikiria mambo matano ya kushukuru kila siku asubuhi na utajiongezea …
Maamuzi Makuu Matatu Yanayoweza Kubadili Maisha Yako!
Ni maamuzi gani makuu matatu, ambayo ni muhimu kwa ubora wa maisha yako? MAAMUZI ambayo yanasababisha wewe kuandaa mazingira ya utajiri au umaskini katika muda wowote ule maishani mwako? Majibu ya maswali haya sio siri na pengine sio mageni masikioni mwetu, ila yanahitaji usikivu, ufuatiliaji, na umakini katika ufaniukishaji wake. Hivyo basi, zingatia maamuzi haya makuu matatu yafuatayo, ili …
Zijue Tabia 7 za Wanawake wanao-Cheat
Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat. 1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits. 2) Marafiki wengi …
Jifunze Njia sahihi ya kubajeti Mshahara wako
Elimu ya hela na matumizi yake ni muhimu kuliko elimu nyingine yoyote kwa watu wanaofanya kazi za kuajiriwa, jambo la kusikitisha ni kwamba haifundishwi mashuleni na ni pasenti ndogo ya wazazi wanaofundisha watoto wao namna ya kutumia hela. Watu wanamaliza chuo kikuu, wanaanza kazi na bado wanaishia kukopa kwasababu ya kutokujua namna ya kubajeti matumizi. Katika hii blog posti, utajifunza …