Camera ya dev.kisakuzi.com Mjini Moshi, Kilimanjaro
Sehemu ya milima iliyopo Katikati ya eneo la Same na Hedaru (Milima ya Upareni) kama inavyoonekana kwenye picha juu.
Picha anuai juu ni eneo la chanzo cha maji cha Ruvu kimefurika maji kwa sasa hadi kimezidiwa uhifadhi, maji haya yanayotokea kwenye Mto Ruvu yamejaa kupita kiasi na kuzunguka maeneo yote ya jirani na chanzo hicho cha maji.
Baadhi ya wachuuzi wa matunda na bidhaa nyingine kwenye Hoteli mpya ya Cate Montels & Tours Co. Ltd iliyopo njiani kutokea Moshi na Korogwe Tanga
Baadhi ya wachuuzi wa matunda na bidhaa nyingine kwenye Hoteli mpya ya Cate Montels & Tours Co. Ltd iliyopo njiani kutokea Moshi na Korogwe Tanga
Cate Motels pichani
Baadhi ya mabasi ya mikoani yaliyoegesha kwenye hoteli hiyo kupata chakula juzi.