Brigiter Alfred Ndiye Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kinondoni 2012

Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigiter Alfred, akiwapungia mkono mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni mshindi wa pili Diana Hussein na mshindi wa tatu Irene


Akivalishwa taji lake la Redd’s Miss Kinondoni 2012.
Mkurugenzi wa Perfect Lady Classic Saloon, Ester Kiama ambao ndiyo
waliokuwa wamedhamini Redd’s Miss Kinondoni Talent akitangaza zawadi
alizompatia mrembo aliyeshinda, ambaye ni Brigiter Alfred (mrembo wa katikati).
Top 5 ya Redd’s Miss Kinondoni 2012.
 Huyu ni Redd’d Miss Kinondoni 2012 aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Mwananyamara Hospitali ambao kazi yake kubwa ni kuhamasisha kuchangia mfuko wa akina mama.