Breaking Newz; Kocha wa Uingereza ajiuzulu

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uingereza, Fabio Fapello

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uingereza (England), fabio Capello amejiuzulu kuifundisha timu hiyo. Taarifa ambayo mtandao huu umezipata muda si mrefu ni kwamba, kocha huyo kafikia hatua ya kujiuzulu kwa kile Nahodha wa timu hiyo, John Terry kuvuliwa nafasi hiyo bila yeye kuhusishwa. Taarifa zaidi za sababu nyingine tutawaleteeni hapo baadaye.