BOZI BOZIANA AFANYA MAKAMUZI SUN CIRRO

Bozi Boziana na wanamuziki wake wakiwa jukwaani.


Mwanamuziki kutoka Demokrasia ya Kongo, Bozi Boziana jana alifanya shoo kwa mara ya kwanza katika Club ya Sun Cirro Sinza jijini Dar es Salaam akishirikiana na Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’.