
Bondia Fransic Miyeyusho (mkono juu) akioneshwa kuwa ni mshindi baada ya kumdunda Emilio Norfat kwa pointi.

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akipangua konde la Emilio Norfat wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikuku ya Idi katika uwanja wa mkwakwani Tanga Miyeyusho alishinda kwa pointi.

Nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya mpambano

Bondia Jacob Maganga na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde mpaka mwisho wa mpambano matokeo ni droo

Bondia Osgood Kayuni wa Malawi akipambana na Allen Kamote wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO Kamote alibuka mshindi wa mpambano huo kwa pointi.