
Mabondia Tasha Mjuaji kushoto akipambana na Hamisi Kicheba wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini Dar es salaam Mjuaji alishinda kwa K,o ya raundi ya pili.

Mabondia Ally Yusuph kushoto akimtupia konde Sadam Manjepa bila mafanikio wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame manzese Dar es Salaam Yusuph alishinda kwa point.

Bondia Julius Kisalawe kushoto akimtupia konde Bonans Samweli wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ndame GYM Manzese Dar es salaam Kisalawe alishinda kwa point mpambano.

Bondia Julius Kisalawe akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake