Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Barcelona wakishangilia mara baada ya mchezaji wao kufufunga goli zuri katika dakika tisini dhidi ya timu ya Mashabiki wa timu ya Chealsea katika mchezo wao wa fungua dima kwenye bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza linalofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mchana huu.
Bonanza limepamba moto ambapo kumekuwa na burudani mbalimbali zikishirikisha mpira wa miguu kutoka kwa timu za mshabiki wa timu mbalimbali za Ulaya ambazo ni Manchester United, Liver Pool, Chealsea, Arsenal, Baeryen Munichen na Manchester City, Barcelona na Real Madrid. |