Ally Daud – Maelezo
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bi. Zaynab Matitu akiongea na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu kushiriki katika michezo itayofanyika Machi 5 mwaka huu ili kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kushoto ni Mwenyekiti wa wa Baraza hilo Bw. Diomiz Malinzi.
Mwenyekiti wa wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bw. Diomiz Malinzi akiongea na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu kushiriki katika michezo itayofanyika Machi 5 mwaka huu ili kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kulia ni Makamu Mwenyekiti Bi. Zaynab Matitu.