Blackberry Storm inauzwa Simu aina ya Blackberry Storm inauzwa, ipo katika hali nzuri, ina mfuko wa kubebea, Kava zake 2, Hear Phone, Charger, Screen protector. Imetumika mwezi mmoja tu. Kwa mawasiliano piga simu namba 0655218990bei ni sh 320,000