
Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton, akipiga mpira kama ishara ya kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara ya Rais wa Mstaafu wa
Marekani Bill Clinton, kukagua miradi mblimbali katika nchi za Afrika iliyo chini ya ufadhili wa Taasisi yake, (CLINTON FOUNDATION) katika uwanja wa Amaan. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton, baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za Wachezaji wa Zamani uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium, (katikati) Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]