Benki ya Posta Yachangia Milioni 5 Mkutano Mkuu wa Wadau ZSSF

Ofisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Ndg Sabasaba Moshingi, akimkabidhi mfano wa Cheki ya shilingi milioni Tano kuchangia Mkutano Mkuu wa Wadau wa ZSSF Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi Zanzibar Ndg Makame MsIlima, makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani wakati wa Mkutano huo. Kushoto Meneja Mawasiliano Mwandamizi Bi Noves Moses.

Ofisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg Sabasaba Moshingi, akitowa Mada ya Huduma za  Benki ya Posta inavyotowa huduza zake kwa Wateja wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani hoteli.