
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA POSTA TANZANIA SABASABA MOSHINGI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA TAWI JIPYA LA BENKI HIYO, LILILOPO KWENYE JENGO LA OFISI ZA CCM ILALA. KUTOKA KUSHOTO NI MKURUGENZI WA MAJANGA MOSES MANYATTA NA MENEJA WA TAWI HILO SALMA MARIJANI. KULIA NI MENEJA UHUSIANO WA BEKI HIYO NOVES MOSES.

MENEJA WA BENKI YA POSTA TAWI LA ILALA, SALMA MARIJANI AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WATEJA WA BENKI HIYO TAWI LA ILALA

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA POSTA SABASABA MOSHINGI AKIMSALIMIA MMOJA WA WATEJA WA TAWI HILO

PICHA YA POMOJA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA POSTA SABASABA MOSHINGI AKIWA NA VIONGOZI WENGINE NA WAFANYAKAZI WA TAWI LA ILALA