Benki ya NMB Yatoa Gawio la Bilioni 16.5 kwa Serikali

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (wa kwanza kulia) akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango mfano wa hundi ya jumla ya shilingi bilioni 16 na milioni 500 ikiwa ni gawio la hisa zinazomilikiwa na Serikali ndani ya benki ya NMB. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Ofisi ya Msajili wa Hazina, Mwakibinga Mihalale (wa pili kulia) na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Protase Tehingisa (wa pili kushoto). Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB kwa Mwaka 2017 ulifanyika jana katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB kwa Mwaka 2017 ulifanyika jana katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Ofisi ya Msajili wa Hazina, Mwakibinga Mihalale (kulia) mfano wa hundi ya jumla ya shilingi bilioni 16 na milioni 500 ikiwa ni gawio la hisa zinazomilikiwa na Serikali ndani ya benki ya NMB mara baada ya kupokea gawio hilo toka NMB kwenye Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB kwa Mwaka 2017. Anayeshuhudia katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Protase Tehingisa.

Sehemu ya maofisa wa Kanda mbalimbali za Benki ya NMB wakiwa katika mkutano huo wa wanahisa.

Baadhi ya wanahisa wa NMB wakipitia taarifa za mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB kwa Mwaka 2017.

Baadhi ya wanahisa wa NMB wakipitia taarifa za mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB kwa Mwaka 2017.

Meza kuu katika mkutano Mkuu wa wanahisa wa Benki ya NMB kwa mwaka 2017.

Mmoja ya wanahisa wa NMB akichangia hoja katika mkutano wa wanahisa wa benki hiyo.

Sehemu ya Maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa katika mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa NMB wa Mwaka 2017. Mara baada ya mkutano huo NMB ilikabidhi jumla ya shilingi bilioni 16 na milioni 500 ikiwa ni gawio la hisa zinazomilikiwa na Serikali ndani ya benki ya NMB.