Benki ya NMB Yaajiri Wahitimu wa Vyuo 30, Baada ya Mchujo…!

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu (hawapo pichani) vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu (hawapo pichani) vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo
yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker (kulia) akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker (kulia) akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo
yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akizungumza na wahitimu 30 wa vyuo vikuu nchini na nje ya nchi ambao wanaajiriwa na NMB katika mpango wake wa kukuza vipaji kwa wahitimu wa vyuo vikuu ulioanzishwa mwaka jana.

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker (mbele) akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Mkurungezi Mtendaji wa NMB- Bi Ineke Bussemaker (mbele) akiwakaribisha wahitimu 30 wa vyuo vikuu vilivyo ndani na nje ya nchi. Wahitimu hao watapatiwa mafunzo kwa kipindi cha miaka miwili kisha wataajiriwa na Benki katika vitengo mbalimbali vilivyopo makao makuu na kwenye mtandao wa matawi yake ambayo
yamesambaa maeneo mbalimbali nchini.

Wahitimu 30 wa vyuo vikuu wakimsikiliza kwa umakini Mkurungezi Mtendaji wa NMB Bi Ineke Bussemaker katika hafla ya kutambulishwa kwa uongozi Makao Makuu ya NMB jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mmoja wa wahitimu 30 wa vyuo vikuu akiuliza swali mara baada ya kumsikiliza Mkurungezi Mtendaji wa NMB Bi Ineke Bussemaker (hayupo pichani) katika hafla ya kutambulishwa kwa uongozi Makao Makuu ya NMB jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Baadhi ya viongozi na Wafanyakazi wa NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu 30 wa vyuo vikuu ambao wamepata nafasi ya kujifunza kazi za benki katika idara mbalimbali ndani ya benki kwa muda wa miaka miwili na baadae kupata ajira ya kudumu.