
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza wananchi mbalimbali walioalikwa
katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC katika ukumbi wa Zanzibar
Beach Resort [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu walioalikwa
katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC jana katika Ukumbi wa
Zanzibar Beach Rasort, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi Khamis (hayupo pichani)akizungumza nao kwa niaba ya
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Shein.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamohamed Shein, (katikati) na makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort (kulia)Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bibi Mizinga Mellu, na (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi Dk. Mussa Assad. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]