Waimbaji nyota na wakongwe wa Bendi ya Twanga na Kupepeta kutoka kushoto, Ally Choki, Kalala Jr na Lwiza Mbutu wakiwajibika jukwaani ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Wacheza show wa Twanga na Kupepeta wakiwajibika jukwaani katika onesho lao la Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Mwimbaji na rapa Dogo Rama akiwa kazini.

Baadhi ya wapinga vyombo wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiwajibika jukwaani katika onesho lao la Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Huyu ni kiraka wa Twanga na Kupepeta, Kalala Jr hapa akikaanga chips…!

Baadhi ya wapinga vyombo wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiwajibika jukwaani katika onesho lao la Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Lwiza Mbutu akiwajibika.

Baadhi ya wapinga vyombo wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiwajibika jukwaani katika onesho lao la Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Mmoja wa marapa wa Twanga na Kupepeta akiwa kazini.

Waimbaji nyota na wakongwe wa Bendi ya Twanga na Kupepeta kutoka kushoto, Ally Choki, Kalala Jr na Lwiza Mbutu wakiwajibika jukwaani ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.

Waimbaji nyota wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiwaburudisha mashabiki katika onesho lao la Ijumaa ndani ya Ukumbi wa Dar West Park Tabata.