
Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh AsumtaMshama, akishuhudia uzinduzi wa moja ya madarasa ya kituo cha watoto yatima cha KCVC uliofanywa na mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa na Mwenyekiti wa bodi ya Bayport Tanzania Dkt. Ken Kwaku hafla iliyofanyika kijiji cha Simbani wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani
Watoto wanaolelewa katika kituo cha
KCVC wakiimba wimbo maalumu. |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha
KCVC.
|
Mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa
|
Mkuu wa wilaya ya Kibaha mh Asumta Mshama
akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC. |
Viongoziwa Bayport wakiongeana Mama Anna Mkapa.
|