Waziri Mkuu Wa Serikali ya Wanafunzi wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha, Shauri akila kiapo mbele ya Rais wa Kitivo hicho (hayupo pichani) wakati baraza la mawaziri lilipokuwa likiapishwa.
Rais wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM), Iddy Mohamed (wa kwanza kulia) akishauriana jambo na Waziri Mkuu wa Kitivo hicho, Shauri kabla ya zoezi la kuwaapisha wateule wake ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma. Picha zote na Josephat Lukaza wa josephatlukaza blog.