Baraza la Eid-El-Hajj Ukumbi wa SUZA na Swala ya Siku Kuu Hiyo Zanzibar

TA1A0422
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu wengine katika Swala ya Idd el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Rashid Ali Vuai,(mbele)iliyoswaliwa kitaifa katika Kijiji Marumbi, Wilaya ya Kati Unguja,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0433
Waislamu na Wananchi wa Jimbo la Chwaka wakisilikiza Hutuba ya swala ya Idd el Hajj iliyotolewa na Sheikh Sheikh Rashid Ali Vuai, ambapo ilihudhuriwa na Viongozi mbali mbakli wa Kitaifa (hawapo pichani) akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0445
Akina mama waliohudhuria katika Swala ya Idd el Hajj, iliyoswaliwa Kitaifa katika uwanja wa Mpira Kijiji cha Marumbi, Wilaya ya Kati Unguja, wakisilikiza hutuba iliyokuwa ikitolewa na Sheikh Rashid Ali Vuai, mbapo ilitolewa baada ya swala, {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0510
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mashehe katika ukumbi wa Hotel ya Coconut Tree, baada ya kuswali swala ya  Idd el Hajj, katika kijiji cha Marumbi Uwanja wa Mpira, Wilaya ya Kati Unguja {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0538
Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwa katika sherehe za baraza la EId lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Taifa SUZA, kampasi ya Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja. {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0560
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj, katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Taifa SUZA, kampasi ya Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja. {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}

TA1A0570
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya hutuba ya baraza la Idd El Hajj, iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Taifa SUZA, kampasi ya Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja. {Picha na Ramadhan Othman Ikulu.}