Baraza la Biashara Bwawani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Afisa Viwanda, Yussuf Maulid Yussuf, (wa pili kulia)kutoka Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,wakati alipotembelea maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya Wajasiriamali yaliyofanyika katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani ,(kushoto) Margret Antony,wa kikundi cha Niasafi Women Group cha Kwahani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Nassor Hamadi Omar, wa (ZOP) Zanzibar Orgave Prodiusears, cha Fuoni Unguja, wakati alipotembelea maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya wajasiria mali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuelekeza jambo Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,wakati alipotembelea Kikundi cha Moto Hand Craft, cha Pete Wilaya ya Kusini Unguja,ambacho kinazalisha nguo aina ya Batiki,katika maonesho ya vikundi mbali mbali vya Wajasiriamali katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani ,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]