Banki ya NMB Yatoa Kompyuta 250 kwa Shule za Msingi na Sekondari

Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora moja ya kompyuta zaidi ya 250 zilizotumika zilizotolewa na NMB kwa ajili ya baadhi ya shule za msingi na sekondari nchini Tanzania kama msaada kwenye sekta ya elimu na mawasiliano.

Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza katika hafla ya benki hiyo kukabidhi zaidi ya kompyuta 250 zilizo tumika kwa ajili ya baadhi ya shule za msingi na sekondari nchini Tanzania kama msaada kwenye sekta ya elimu na mawasiliano. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora akizungumza kutoa shukrani alipokuwa akipokea zaidi ya kompyuta 250 zilizo tumika zilizotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya baadhi ya shule za msingi na sekondari nchini Tanzania kama msaada kwenye sekta ya elimu na mawasiliano. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NMB, Ineke Bussemaker.

Sehemu ya kompyuta zaidi ya 250 zilizotumika zilizotolewa na NMB kwa ajili ya baadhi ya shule za msingi na sekondari nchini Tanzania kama msaada kwenye sekta ya elimu na mawasiliano.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NMB, Ineke Bussemaker alipokuwa akiangalia moja ya kompyuta 250 zilizotolewa na Benki ya NMB zinavyofanya kazi mara baada ya makabidhiano.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NMB, Ineke Bussemaker alipokuwa akiangalia moja ya kompyuta 250 zilizotolewa na Benki ya NMB zinavyofanya kazi mara baada ya makabidhiano. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilikabidhi kompyuta hizo ili kusaidia shule za Msingi na Sekondari hasa kwenye eneo la teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), kompyuta hizo zilizokuwa zikitumiwa na NMB awali zilikarabatiwa na kuandaliwa ili zitumike kusaidia shule hizo.