Washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini Mada zinazowesilishwa wakati wa Warshi hiyo ilioandaliwa na Bank Of Africa.
Washiriki wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia Mada zikiwasilishwa
iki wa Warsha ya Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara Zanzibar katika kuandaa Mpango wa Biashara wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mawazo wakati wa mapunziko ya mchana.
Imeandaliwa na OthmanMapara