Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Ofisa Habari wa wizara hiyo, Asa Mwambene akimuelezea mmoja wa wananchi shughuli mbalimbali zinazofanywa na wizara hiyo alipotembelea banda lao kwenye Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa jijini Dar es Salaam.