Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba


Wananchi wakiwa nje ya banda la SamSung wakiangalia burudani mbalimbali zinazotolewa nje ya banda hilo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba jijini Dar es Salaam.