Balozi wa Korea aagana na Dk Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais, Ikulu Mjini Zanzibar .
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais Ikulu Zanzibar
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]