Bajeti ya Viwanda na Biashara Yapitishwa

Watumishi na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa Bunge baada ya Bajeti yao kupita.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu wakipongezwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Joyce Mapunjo nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akisoma hotuba ya Wizara yake Bungeni, jumatano wiki hii.

Wataalamu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakitayarisha majibu ya hoja na michango mbali mbali ya Wabunge iliyoelekezwa kwa Wizara hiyo

Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo wakifuatilia mawasilisho ya bajeti yao Bungeni mjini Dodoma