AU Kujadili Madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika

Mjumbe mwakilishi kutoka nchi za Afrika Mashariki wa Baraza la Wanawake wa Vijijini, Florah Mathias akizungumza namna atakavyowasilisha madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika katika mkutano wa Umoja wa Afrika ambao amealikwa kuwasilisha madai hayo.

IMG_1736

Mkuu wa Idara ya Fedha kutoka Actionaid Tanzania, Bavon Christopher (katikati) akizungumza wakati akifunga kikao cha majadiliano kumpongeza Mjumbe mwakilishi kutoka nchi za Afrika Mashariki wa Baraza la Wanawake wa Vijijini, Florah Mathias akizungumza namna atakavyowasilisha madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika katika mkutano wa Umoja wa Afrika ambao amealikwa kuwasilisha madai hayo.

Meneja wa Haki za Wanawake kutoka Actionaid Tanzania, Scholastica Haule akionesha nakala yenye madai hayo kwa vyombo vya habari walipokutana kumpongeza Mjumbe mwakilishi kutoka nchi za Afrika Mashariki wa Baraza la Wanawake wa Vijijini, Florah Mathias kupata nafasi hiyo.

Mkutano wa kupongeza asasi za kiraia mbalimbali zilivyovutiwa na kitendo cha AU kupokea madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika na kuyaingiza katika majadiliano katika mkutano wa mwezi huu wa AU.

Meneja wa Haki za Wanawake kutoka Actionaid Tanzania, Scholastica Haule (kulia) akizungumza namna asasi za kiraia mbalimbali zilivyovutiwa na kitendo cha AU kupokea madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika na kuyaingiza katika majadiliano katika mkutano wa mwezi huu wa AU.

Meneja Programu wa TGNP Mtandao, Grace Kisetu (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Meneja wa Haki za Wanawake kutoka Actionaid Tanzania, Scholastica Haule.