Asenal wavizia Saini Ya Chicharito

2392762
Klabu ya Arsenal kwa sasa wanaiwinda kwa hali na mali saini ya mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United na Real Madrid Javier Hernandez Maarufu kwa Jina la Chicharito

The Gunners wameamua kutafuta mbadala wa Olver Giroud endapo watafanikiwa kumpata mchezaji huyo raia wa Mexico katika dirisha dogo la Usajiri mwezi wa Kwanza itawasaidia kutokana na kuwepo ka mrundomano wa wachezaji majeruhi ndani ya klabu hiyo.

Inasemekana tayari Asenal wameandaa kitita cha €18 million (£13.2m) ili kumnasa mshambuliaji huyo ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen inayocheza ligi kuu ya Ujerumani
1935382_heroa
Chicharito hakuwa katika mpango wa meneja wa sasa wa Manchester United Louis van Gaal na kusababisha kushindwa kurudishwa toka Real Madrid Alikokuwa kwa Mkopo