Asasi za Kiraia Zatetea Msichana Mjamzito Kurejea Shuleni

Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake NchiniTanzania (TAWLA), Bi. Tike Mwambipile (katikati) akisoma tamko la Asasi za Kiraia nchini kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Msichana Initiative, Bi. Rebeca Gyumi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga (kushoto) wakiwa katika mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Msichana Initiative, Bi. Rebeca Gyumi (katikati) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari kuhusiana na tamko lao la Asasi za Kiraia nchini kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Wengine ni wawakilishi mbalimbali wa azaki zilizoshiriki katika tamko hilo.

ASASI za Kiraia nchini zimeibuka kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Katika tamko lao la pamoja lililoshirikisha asasi 25 za kiraia zinazofanya kazi nchini limeitaka serikali kuridhia mchakato wa kumruhusu mwanafunzi atakayepata ujauzito kurejea masomoni mara baada ya kujifungua.

Akisoma tamko hilo la pamoja, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake NchiniTanzania (TAWLA), Tike Mwambipile alisema Serikali kabla ya kupitisha uamuzi huo kuna haja ya kuelewa kuwa msichana wa Tanzania anakabiliwa na vikwanzo vingi katika kupata elimu, ikiwemo mazingira duni ya kujifunzia, kutozingatiwa kwa mazingira maalum kwa mtoto wa kike, unyanyasaji wa kijinsia na umbali mrefu kati ya makazi nashule.

Taarifa zaidi juu ya tamko hilo soma hapa chini kabisa:-

Baadhi ya wawakilishi mbalimbali wa Asasi za Kiraia nchini zaidi ya 25 zilizoshiriki katika tamko hilo wakiwa katika mkutano huo na wanahabari.

Sehemu ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake NchiniTanzania (TAWLA), Bi. Tike Mwambipile (kushoto) akionesha nakala ya mwongozo ulioandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (2016) uliokuwa ukiandaliwa kumwezesha mwanafunzi mjamzito kurejea shuleni mara baada ya ujauzito.

Baadhi ya wawakilishi mbalimbali wa Asasi za Kiraia nchini zaidi ya 25 zilizoshiriki katika tamko hilo wakitoa ufafanuzi kwa wanahabari kuhusiana na tamko lao kupaza sauti kupingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua.