Asasi ya FEDHA Yazungumzia Changamoto za Vijana Tanzania

Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya FEDHA Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na watanzania kwaujumla juu ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inapelekea umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA KLABU ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila Jumamosi chuoni hapo.

Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya FEDHA, Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na Watanzania kwa ujumla juu ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inasababisha umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA klabu ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila Jumamosi chuoni hapo.

Muanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya FEDHA Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na watanzania kwaujumla juu  ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inapelekea umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA KLABU ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila Jumamosi chuoni hapo.
Ni mshauri wa vijana pia ni Meneja Masoko wa Taasisi ya  FEDHA Abdalah Kipinga akiongea na wanafunzi wa
chuo ch Kilimanjaro ambapo alizungumzia juu ya maisha ya wanavyuo na changamoto zake na jinsi ya kuzikabili.
Mhamasishaji wa vijana Elly David akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Kilimanjaro (hawapo pichani)  ambapo alizungumza kuhusu siri ya mafanikio kwa vijana na kuwaasa kusimamia ndoto zao lkatika kongamano lililofanyika
mwishoni wa wiki iliyopita chuoni hapo
Wanafunzi wa chuo cha kilimanjaro wakifurahia jambo wakati wa kongamano hilo lililowezeshwa na Taasisi ya Fedha mwsihoni wa wiki iliyopita
Baadhi ya  washiriki wa kongamano wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji katika kongamano hilo lilifnayika mwisho wa wiki iliyopita chuoni hapo Sinza Mapambano, Jijini Dar es salaam.