Asante Sana Waziri Mwakyembe…Naelekea Mjini Wala si Kigoma

Mmoja wa abiria akikwea treni kuelekea mjini maeneo ya Buguruni, dude hili maarufu kama ‘treni ya Mwakyembe’ limepunguza kero ya usafiri kwa wakazi wa jiji hasa nyakati za asubuhi na jioni.