Arsenal Yajikita Kileleni, Man United Chelsea Ngoma Droo

mesutozil-cropped_1xzbmwtc3hcqk1gw99zjq03zww
Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi ya England kwa pointi 39 baada ya kuichapa Bournemouth kwa mabao 2-0 na kiuacha Leicester City Nyuma kwa Pionti moja, kabla ya mchezo wao wa leo dhidi ya Mancherstr City.

Arsenal walipata mabao yao kupita kwa beki Gabriel Paulista aliyefunga bao la kwanza Dakika ya 27 ya mchezo kisha kiungo wa Kijeruman Mesut Ozil, akahitimisha kazi kwa bao la pili alilolifunga katika dakika ya 63.

Nao Man United wakaenda sare ya 0-0 na mabingwa watetezi Chelsea, Everton wakicheza katika dimba lao la Goodson Park wakalala kwa kipigo cha mabao 4-3 dhidi ya Stoke city. Matokeo mengine ni:
Crystal Palace 0 – 0 Swansea Norwich 2 – 0 Aston Villa Watford 1 – 2 Tottenham West Brom 1 – 0 Newcastle West Ha am 2 – 1 Southampton
daily-mirror-291215_hius22qpasv7zbaw4be1ook5
Matokeo kamili:
• Crystal Palace 0 – 0 Swansea
• Everton 3 – 4 Stoke
• Norwich 2 – 0 Aston Villa
• Watford 1 – 2 Tottenham
• West Brom 1 – 0 Newcastle
• Arsenal 2 -0 Bournemouth
• Man Utd 0 – 0 Chelsea
• West Ham 2 – 1 Southampton