Arsenal Yaisambaratisha Manchester City mabao 2

ozil-walcott-giroud-cropped_1jc3qw5ush2t81jq69mfvz148e
Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia le imeifunga Manchestaer City mabao 2-1 na kuendelea kujiimarisha katika msimamo wa ligi kuu ya England

Mabao ya ushindi ya Arsenal yamefungwa na wachezaji Theo walcot Dakika ya 33 kipindi cha kwanza, na Olivier Girioud akifunga bao la pili Dakika chache kabla timu hizo hazijaenda mapumziko.

Manchester City walijiimalisha zaidi kipindi cha Pili na kufanikiwa kupata bao la kufutia machozi lililofungwa na mchezaji YayaToure Dakika ya 82 kipindi cha pili.

Kwa matokeo hayo sasa Araseal bado inaendelea kushikilia nafasi ya pili nikiwa na pointi 36 yuma ya Leicester city yenye pointi 38 magoli 13 na imecheza michezo kumi na saba huku City ikibaki nafasi ya tatu na pointi 32