Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mazishi ya msanii G Mabovu Mkoani Iringa jana.

Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe...!

Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mazishi ya msanii G Mabovu Mkoani Iringa jana.

Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mazishi ya msanii G Mabovu Mkoani Iringa jana.

Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mazishi ya msanii G Mabovu Mkoani Iringa jana.

Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mazishi ya msanii G Mabovu Mkoani Iringa jana.

MATUKIO ya vituko yameonekana kutawala msiba wa msanii G Mabovu Iringa pale mlevi mmoja alipoamua kutembeza kichapo kwa wafiwa huku akishinikiza aruhusiwe kuufukua mwili wa marehemu huyo ili atoe heshima za mwisho.

Mlevi huyo ambaye alisisitiza kuwa alikuwa shabiki na rafiki wa karibu wa G Mabovu aliwashangaza zaidi waombolezaji wengine baada ya kudai kuwa ana siri nzito ya kifo chake msanii huyo. Tukio hilo lisilo la kawaida limetokea muda mfupi baada ya mwili wa marehemu kuwasili makaburi ya Mlolo nje kidogo ya Mji wa Iringa kwa mazishi.

Shabiki huyo ambaye alionekana alionekana mlevi alifika makaburini hapo akiwa amechelewa kabla ya kuvamia eneo la mazishi na kuanza kutoa lugha za matusi ya nguoni kwa wafiwa huku akilalama na kuhoji wamewezaje kumzika marehemu bila ya yeye kufika eneo hilo.

Kutokana na lugha hizo za matusi iliwalazimu Vijana waombolezaji kumtoa kwa nguvu eneo hilo na kwenda naye pembeni kidogo kumsihi asifanye vurugu kabla ya chapombe huyo kuanza kurusha ngumi kwa wasanii wengine.
CHANZO; Blogu Matukio Daima Iringa.