Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Higher Learning
Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe akipunga
mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano
lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa
akiwania nao taji hilo.

Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha
Mwakitwange(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rosemary
Aloyce (kulia) na Mshindi wa Tatu Tarchisic Mtui mara baada ya warembo hao
kutawazwa kuwa ndio washindi wa Shindano hilo usiku wa kuamkia jana katika
shindano lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo
Kikuu Mzumbe aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania nao taji hilo. KUONA PICHA ZAIDI>>> FATHER KIDEVU BLOG