Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi . Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.

Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.

Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.

Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta wakimsikiliza Mhe. Angela Kairuki

Angela Kairuki akiongea na Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta