Angalia Picha 16 za Taswira ya Kihistoria ya Lowassa Kutangaza Kung’oka CCM…!

Ulinzi na usalama ulikuwa kama inavyoonekana, kila aliyeingia alisachiwa...

Ulinzi na usalama ulikuwa kama inavyoonekana, kila aliyeingia alisachiwa…

Nje ya Hoteli ya Ledger Plaza (zamani Bahari Beach) aliyotangaza kukihama chama cha CCM.

Muonekano wa magari nje ya Hoteli ya Ledger Plaza, ambayo zamani ilijulikana kama Bahari Beach ambapo Edward Lowassa alitangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Edward Lowassa katika taswira tofauti ndani ya ukumbi alimotangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi.

Muonekano wa meza kuu katika mkutano huo wa kihistoria...

Muonekano wa meza kuu katika mkutano huo wa kihistoria…

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano huo, ambapo kwa mara ya kanza alimshukuru sana Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wa Chama chake cha kumkata Lowassa na hatimaye kuja CHADEMA.

Sehemu ya familia ya Edward Lowassa ikifuatilia tukio hilo..!

Viongozi mbalimbali wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa UKAWA vikimpongeza.

Vyombo vya habari vikitafuta taswira baada ya Lowassa kutamka CCM si babayake wala mamayake....

Vyombo vya habari vikitafuta taswira baada ya Lowassa kutamka CCM si babayake wala mamayake….

Ndani ya ukumbi huo...!

Ndani ya ukumbi huo…!

Karibuni vyombo vyote vya habari, unavyovijua wewe hata mitandao ya jamii ilikuwa katika mkutano huo.

Edward Lowassa akiingia katika gari lake kuondoka katika ukumbi huo, kulia ni gari la mkewe mama Regina Lowassa.