Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, akijiandaa kubofya kitufe cha kuashiria kuzaliwa upya kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Maandishi Maalumu yakihamasishana kuashiria kutimia kwa Miaka 50 ya Muungano.
Fashfash na fataki zikamiminika kwenye anga ya viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Mwansoko (katikati) akiwa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Joyce Fisoo (wa pili kushoto) na watumishi wengine wa Wizara hiyo.
Kikindi cha Taifa cha Taarabu kikitumbuiza wananchi waliohudhuria kwenye mkesha na wimbo Maalum unaojulikana kama Muungano Wetu.
Kikindi cha Taifa cha Taarabu kikitumbuiza wananchi waliohudhuria kwenye mkesha na wimbo Maalum unaojulikana kama Muungano Wetu.
Kikundi cha Burudani kutoka Tanga kikuburudisha hadhira.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, akiwaaga baadhi ya wageni waalikwa na kuondoka baada ya kuongoza Mkesha wa Muungano.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi ambaye alikuwa mmoja wa wakeshaji walioshuhudia Mika 50 ya Muungano. Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO.