Amir Jeshi Mkuu Rais Dk Magufuli Atunuku Kamisheni Maafisa 586 Katika Chuo cha Maafisa wa Jeshi la Wananchi Monduli (TMA)

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha Mei 07,2016

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Afisa Mpya wa cheo cha Luteni Usu, Nasra Rashid ambaye alifanya vizuri zaidi kuliko Maafisa Wanafunzi wanawake katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi General Davis Mwamunyange mara baada ya kuwasili kwenye chuo cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.

5

Maafisa Wanafunzi wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli kabla ya kutuniwa Kamisheni .
6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 katika chuo hicho cha Monduli.

7

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wapya aliowatunuku Kamisheni katika cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha. Wengine katika picha ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi Jeneral Davis Mwamunyange , Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao, Waziri wa Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi pamoja na Maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la UlinzI

8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Ngarenaro waliomsimamisha wakati akitokea kwenye chuo cha Mafunzo ya Kijenshi cha Monduli mkoani Arusha.

Picha na Ikulu