Aliyekuwa Waziri wa Fedha atembelea Wizara ya Fedha Nanenane

Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Chuo cha Mipango Sara Mmari (kushoto) mjini Dodoma wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane.

Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara ya Fedha katikati maonyesho ya nanenane.(Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma).