Ajira kwa Watoto Kisaki na Treni ya TAZARA

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msing Kisaki wakiwa wanauza vyakula na vinywaji katika kituo cha reli ya TAZARA Kisaki usiku wa manane.

Baadhi ya watoto wa Shule ya Msing Kisaki wakizunguka kuuza vyakula na vinywaji katika kituo cha reli ya TAZARA Kisaki usiku wa manane.

Kibao cha ukaribisho KISAKI kituoni

Kibao cha ukaribisho KISAKI kituoni

Watoto hao wakiendelea na kazi ya kuuza vyakula na vinywaji katika kituo hicho cha Kisaki.

Hapa ni baadhi ya watoto hao pamoja na abiria wakisubiri treni iwasili, ili wafanye biashara zao. Ratiba ya treni hiyo ilikuwa ikionesha inatarajia kuwasili saa sita usiku, hata hivyo watoto hawa kesho yake wanatakiwa kwenda shuleni kusoma licha ya wao kukesha.

Baadhi ya watoto wanaodaiwa ni wa Shule ya Msing Kisaki wakiwa busy kuuza vyakula na vinywaji katika kituo cha reli ya TAZARA Kisaki usiku.

Baadhi ya watoto wanaodaiwa ni wa Shule ya Msing Kisaki wakiwa busy kuuza vyakula na vinywaji katika kituo cha reli ya TAZARA Kisaki usiku. (Picha zote na Deo Temba wa TGNP)