Ajali Sinza, Gari Linapoacha Njia…!

Gari likiwa limepoteza uelekeo na kuingia mtaroni pembeni  mwa barabara ya Shekilango, Sinza jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa mashuhuda hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.