Afrika Internet Group Yawakutanisha Wadau na Wanahabari

Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet Holding.

Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.

Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto), Meneja Mwendeshaji wa Mo Blog, Mr. Zainul M. na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Mahusiano Kaymu.com, Angaza Nkurlu wakibadilishana uzoefu katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Ofisa Msaidizi Kitengo cha Uhusiano wa Kampuni ya Lamudi Tanzania, Lilian Kisasa (katikati) akibadilishana uzoefu na baadhi ya wanahabari katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.

Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (kushoto)akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding.

IMG_0032

IMG_0027

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (katikati) akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Carmudi Afrika Mashariki, William Day (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa kampuni yake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Carmudi Afrika Mashariki, William Day (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa kampuni yake.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

AFRIKA Internet Holding ni kampuni inayochochea kasi ya mabadiliko ya online katika Afrika – kwa ajili ya watu wake na utamaduni wake. Pia inadhumuni la la kuleta mafanikio na umahiri katika makampuni ya internet ambayo yanaongeza mageuzi ya utamaduni wa Kiafrika wa matumizi ya internet. AIH ni kundi mama lenye makampuni tisa yenye mafanikio na yanayokua haraka katika nchi zaidi ya 25 za Afrika, na zaidi ya wafanyakazi 3000. AIH inajali kuhusu ujasiriamali na hufanikisha mambo muhimu yote yanayohitajika kuimarisha kampuni: timu, dhana, teknolojia na mitaji. Ambapo Mtandao wake wa makampuni ni pamoja na JUMIA, Kaymu, Hellofood, Lamudi, Carmudi, Zando, Jovago, Lendico na Easy taxi.