
William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada juu ya jinsi gani waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendelea ya Afrika katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan

Donald Kaberuka Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini Tokyo – Japan